MATAJIRI (points)

MATAJIRI (points)

MINBOOKLET

MINBOOKLET

SHUKRANI

SHUKRANI

Wednesday, October 21, 2015

1G5 ni mshiriki wa MWITIKO BINAFSI wa kundi la kwanza kati ya makundi 10 yaliyochaguliwa kupigiwa kura, ambapo kila kundi lilikuwa na wahusika watano watano.  Kwa sasa muunganiko wa makundi hayo 10 umesababisha washiriki wawe 50, Hivyo basi 1G5 anaweza kushinda milioni moja endapo kura zake zitakuwa nyingi kupita wenzake.

Sunday, October 18, 2015

8G4 amebahatika kupata kura ya bahati, ambapo alikuwa miongoni mwa kundi la 8 (Boys Group).
Kiasi cha shilingi Milioni moja kinaweza kumdondokea endapo atakusanya kura nyingi. Ikumbukwe tarehe 10/11/2015, kura za hatua ya PILI zitaanza kupigwa zikihusisha watu mbali mbali.
Zoezi litakalodumu hadi 30/11/2015 atakapotangazwa mshindi.
3G5 alishinda kwa kura za kishindo kwenye kundi lake, Pia ni MSHINDI WA UFOTOJENIKI kwa mwaka 2015/16 kwa nafasi ya pili,  Sjmc-UDSM. Kwa namna ya kushangaza ndiye pekee aliyepata wapiga kura wengi zaidi toka mataifa mbali mbali nje ya mipaka ya TANZANIA. Na sasa anaingia hatua ya kundi la WASHIRIKI hamsini (50) katika kinyang'anyiro cha kitita cha 
Tsh 1,000,0000/=. Atafaulu endapo atakusanya kura nyingi zaidi kupita wote huku akiwa na mtaji wa kura ya bahati ya 
Tar. 17/10/2015.

Friday, October 16, 2015

7G3 ndiye mwenye bahati Leo kwa kupata kura, ambapo
Alikuwa kundi nambari saba kwenye kupigiwa kura zilizokuwa za washiriki WATANO, kwa hatua ya sasa washiriki wapo jumla 50 katika kuwania kiasi cha shilingi Milioni moja (1,000,000/=).

Thursday, October 15, 2015

4G4 ni mmoja kati ya washiriki
wa Mwitiko Binafsi ambaye alikuwa na uwezo pekee katika Sanaa ya picha za mnato, huku baadhi ya washiriki ya wenzake na waliompigia kura kwenye kundi lake (4th GROUP) wakimfananisha na msanii mashuhuri wa Nigeria Yemi Alade. Kwa sasa tusubiri ifikapo 30/11/2015 kama uwingi wa kura za bahati na zile zitakazopigwa baada ya kufungua chuo kama zitamuweka "on top" na kusababisha anyakue kitita cha Tsh 1,000,000/=.

Wednesday, October 14, 2015

4G3 Alikuwa mshindi wa kundi namba nne, baada ya kushinda alizawadiwa kiasi cha shilingi 25,000/= na sasa kuna 1,000,000/= mbele ya WASHIRIKI hamsini (50) wa MWITIKO BINAFSI.
Hivyo kwa sasa anakutana na wenzake 9 walioshinda kwenye makundi yao, pia washiriki 40 ambao wote walifuzu kwenye vipaji vya picha. 

Tuesday, October 13, 2015


Ni bahati kwake kwa Mara nyingine 3G4 anapata kura
Nyingine ya kuwania umilionea, (13/10/2015). Ambapo yeye anatokea kundi la tatu ambalo lilikuwa na rekodi ya kufuatiliwa na watu wengi zaidi wa hapa nchini pia nchi za nje, Na pia kundi lake limefanikiwa kuwa na fotojeniki No 2 katika kipindi hiki cha 2015/16 kutoka Sjmc.
3G4 amebahatika kupata kura Tar. 12/10/2015
Endapo atakuwa na kura nyingi zaidi ifikapo
Tar. 30/11/2015 basi atajinyakulia kitita cha shilingi 1,000,000/=


taslim za Kitanzania.

Monday, October 12, 2015

6G4 amefanikiwa kupata kura ya bahati. 
Endapo atajikusanyia kura nyingi ni dhahiri 
Kuwa atashinda kiasi cha shilingi Milioni moja

Sunday, October 11, 2015

3G3 NDIYE ALIYEBAHATIKA KUPATA KURA
KUTOKA RMR TAR 10/10/2015.
ENDAPO ATAKUWA NA KURA NYINGI IFIKAPO
TAREHE 30/11/2015, BASI ATASHINDA KIASI
CHA SHILINGI MILIONI MOJA ZA KITANZANIA 
(THS 1,000,000/=)




Wednesday, September 30, 2015

5G1, Ndiye aliyepata kura nyingi, za taji la
Kuwa FOTOJENIKI NAMBARI MOJA (1)
Hivyo basi ndiye MSHINDI kwa mwaka
2015/16, anapata zawadi ya kiasi cha Tsh 30,000/=
Kisha ataingia pia hatua ya kura za WASHIRIKI wote Wa
MWITIKO BINAFSI, kujaribu tena bahati ya kujishindia 
Kiasi cha Tsh 1,000,000/=