JOHNAS CAMILLIUS ni kijana aliyemaliza kidato cha sita kutoka MINAKI HIGH SCHOOL, alishiriki Mwitiko Binafsi kupitia Chuo Kikuu cha Dar es salaam na kufanikiwa kuibuka mshindi wa kundi, huku nafasi ya pili ikishikwa na WINFRIED MGAYA a.k.a KING BOZ (The musician Boy) kutoka MUHAS
Kundi zima la 6 wameweza kuingia hatua ya pili ya Kura za thamani.
Kundi zima la 6 wameweza kuingia hatua ya pili ya Kura za thamani.
No comments:
Post a Comment