Kura 511 zilimfanikisha Suzan Laiser kuongoza kundi la 7 hivyo kuwa mshindi wa kundi, Ameshiriki kutoka CHUO CHA IRINGA.
Washiriki wa kundi lake wote wamefuzu kuingia hatua ya pili ya Kura za thamani ambapo mshindi katika hatua hii ya pili hupata Tsh Milioni moja (1,000,000/=).
No comments:
Post a Comment