3G5 alishinda kwa kura za kishindo kwenye kundi lake, Pia ni MSHINDI WA UFOTOJENIKI kwa mwaka 2015/16 kwa nafasi ya pili, Sjmc-UDSM. Kwa namna ya kushangaza ndiye pekee aliyepata wapiga kura wengi zaidi toka mataifa mbali mbali nje ya mipaka ya TANZANIA. Na sasa anaingia hatua ya kundi la WASHIRIKI hamsini (50) katika kinyang'anyiro cha kitita cha
Tsh 1,000,0000/=. Atafaulu endapo atakusanya kura nyingi zaidi kupita wote huku akiwa na mtaji wa kura ya bahati ya
Tar. 17/10/2015.

No comments:
Post a Comment