4G4 ni mmoja kati ya washiriki
wa Mwitiko Binafsi ambaye alikuwa na uwezo pekee katika Sanaa ya picha za mnato, huku baadhi ya washiriki ya wenzake na waliompigia kura kwenye kundi lake (4th GROUP) wakimfananisha na msanii mashuhuri wa Nigeria Yemi Alade. Kwa sasa tusubiri ifikapo 30/11/2015 kama uwingi wa kura za bahati na zile zitakazopigwa baada ya kufungua chuo kama zitamuweka "on top" na kusababisha anyakue kitita cha Tsh 1,000,000/=.
No comments:
Post a Comment