10G5 ni mshiriki kutoka kundi la 10 ambalo lilikuwa kundi la mwisho. Kura ya bahati 07/11/2015 inampa nafasi nzuri ya kusonga mbele katika ukusanyaji wa kura zaidi. 10G5 anaweza kushinda kiasi cha milioni moja endapo atakuwa na kura nyingi zaidi.
MATAJIRI (points)
MINBOOKLET
SHUKRANI
Tuesday, November 10, 2015
Saturday, November 7, 2015
4G2 ni mshindani ndani ya kundi lililokuwa la wasichana, Namba 4 (The 4th GROUP) , Pia alikuwa tano bora ya wasichana waliofanya vema katika kipaji cha picha za mnato (PHOTO OF THE WEEK - SJMC) Tar. 06/11/2015 kura ya bahati imemdondokea na kumweka katika nafasi nzuri ya kuuelekea USHINDI wa kiasi cha Tsh 1,000,000/=.
Friday, November 6, 2015
7G5 Alishiriki katika kundi la wasichana watano na kuibuka mshindi kwa kura nyingi dhidi ya mwenzake kwa kupata kura nyingi zilizopigwa na watu mbali mbali kutoka nchini na nchi za nje. Tar 05/11/2015 amepata kura ya bahati inayompa nafasi nzuri ya mwanzo wa ushindi wa Tsh 1,000,000/= Endapo atapata kura nyingi zaidi kuliko washiriki mwenzake 49.
Thursday, November 5, 2015
4G1 ni miongoni mwa washiriki watano waliopigiwa kura MWITIKO BINAFSI, PHOTO OF THE WEEK, Sjmc-Udsm.
Ni wa kundi la wasichana ambalo lilikuwa la nne (4th GROUP)
Kura yake ya bahati kwa TAR. 02/11/2015, Ni mwanzo mzuri kwake katika ukusanyaji kura zaidi ili aweze kushinda 1,000,000/= Fedha taslimu za Kitanzania.
2G3 ni mshiriki mwenye kura ya bahati tar 01/11/2015, Alishiriki katika kupigiwa kura akiwa kundi la PILI lililokuwa na wavulana watano, AMESHINDA PIA KUWA KIJANA NAMBARI MOJA KATIKA UWEZO WA NGUVU KIFASHENI (POWERFUL FASHION BOY) SJMC-UDSM, 2015/16. Kwa sasa yu katika ushindanivu wa kiasi cha Tsh Milioni Moja akiwa na washiriki mwenzake 49, Na atakayepata kura nyingi ndiye atakayekuwa mshindi.
Wednesday, November 4, 2015
8G3 anatokea BOYS GROUP kundi la NANE la walioshiriki mchakato wa upigiwaji kura kutoka kwa watu mbali mbali nchini na nchi za nje. Kwa sasa ameingia katika hatua shindanivu zaidi yenye washiriki hamsini, Hivyo basi kura ya bahati aliyopata tar 31/10/2015 ni muhimu kwake kuuelekea USHINDI wa Tsh milioni moja (1,000,000/=) endapo ataibuka na kura nyingi kupita mwenzake 49.
Tuesday, November 3, 2015
Anatokea kundi la 10, ambalo lilikuwa kundi la mwisho katika kuhitimisha washiriki hamsini (50) wa mwitiko binafsi
Pia alishiriki upigiwaji kura kundi (10th BOYS GROUP) lililokuwa na washiriki watano (5) wavulana.
Kwa sasa 30/10/2015 amepata kura ya bahati inayompa nafasi nzuri ya kuuelekea ushindi wa kiasi cha Tsh milioni moja.
Subscribe to:
Posts (Atom)









