MATAJIRI (points)

MATAJIRI (points)

MINBOOKLET

MINBOOKLET

SHUKRANI

SHUKRANI

Saturday, October 31, 2015

Alishinda kwa kura nyingi PHOTO OF THE WEEK, SJMC-UDSM.
Alishinda pia taji la Ufotojeniki namba 1 SJMC-UDSM, 2015/2016.
Na sasa amepata kura ya bahati tar. 28/10/'15 inayompa nguvu ya mwanzo mzuri wa ukusanyaji kura ili ashinde Tsh 1mil. dhidi ya washiriki mwenzake 49.

Thursday, October 29, 2015

5G5 ni mshiriki kutoka kundi la 5, Photo of the week Sjmc-Udsm.
Kipaji cha picha za mnato kilimweka kwenye kundi la wasichana watano waliopigiwa kura na watu mbali mbali, kura ya bahati tar 27/10/'15 ni mtaji mzuri kwake kuelekea ushindi wa kiasi cha shilingi milioni moja endapo atawazidi kura washiriki wenzie 49 alionao kwenye kundi lote la washiriki hamsini (50).

Wednesday, October 28, 2015

10G4 alifanikiwa kushinda kutoka kundi la boys group lililokuwa na ushindani wa hali ya juu, baada ya hatua nzuri ya ushindi kutoka kundi lake lililokuwa na washiriki watano, sasa amepata kura ya bahati tar.  26/10/2015 ambayo inampa nafasi nzuri kuelekea ushindi huku kukiwa na washiriki 49 wanaowania  Tsh 1,000,000/=.
Kutoka kundi lililokuwa na ushindani mkubwa kwenye kupigiwa kura, 7G1 alikuwa akipigiwa kura huku nambari yake ya UTAMBULISHO ikiwa "1" (moja). Hatua ya sasa ya kujishindia milioni moja itafanikiwa endapo atawapita kwa kura washiriki 49 wa MWITIKO BINAFSI.

Tuesday, October 27, 2015

1G3 anatokea GROUP 1, Pia alipata USHINDI kutoka kundi lake,
Kura ya bahati TAR 24/10 inamweka kwenye nafasi nzuri ya mwanzo mzuri wa ushindani katika kinyang'anyiro cha Tsh 1,000,000/=.

Monday, October 26, 2015

8G4 ni mmoja kati ya vijana wenye vipaji hususani katika picha za mnato, ameshiriki katika zoezi la kundi la nane kwenye upigiwaji kura kutoka kwa watu mbali mbali, Tar 23 /10 kura ya bahati imemdondokea, hivyo mwanzo mzuri kushindania milioni moja.

Saturday, October 24, 2015

9G3 ni msichana aliyeshiriki upigiwaji kura kutoka kundi namba 9, nambari yake ya kupigiwa kura ilikuwa namba 3 (9th GROUP, 3 VOTING POSITION) Ni hatua bora kwa sasa kuweza kupata kura hii ya bahati ambayo ni mwanzo mzuri kuelekea USHINDI WA 1MIL.

2G1 ni mmoja kati ya vijana wanaowakilisha Sanaa ya muziki Tanzania, amebahatika kupata kura ya bahati 21/10/2015.
Kiasi cha shilingi Milioni moja kitamdondokea endapo kura zake ZITAKUWA nyingi kupita wenzie 49


Thursday, October 22, 2015

8G5 anatokea kundi la nane lililokuwa kwenye mchakato wa kura za photo of the week, MWITIKO BINAFSI @Sjmc.
Kwa sasa yupo kwenye kundi la ushindani na mwenzake 49, ambapo 8G5 anaweza kushinda mil 1 endapo atashawishi upigwaji kura dhidi yake kuanzia TAR 10/11/2015, ambapo kura (kwake) ya bahati ya tar 20/10/'15 ni mtaji mzuri wa kura kwa safari ya USHINDI. 

Wednesday, October 21, 2015

1G5 ni mshiriki wa MWITIKO BINAFSI wa kundi la kwanza kati ya makundi 10 yaliyochaguliwa kupigiwa kura, ambapo kila kundi lilikuwa na wahusika watano watano.  Kwa sasa muunganiko wa makundi hayo 10 umesababisha washiriki wawe 50, Hivyo basi 1G5 anaweza kushinda milioni moja endapo kura zake zitakuwa nyingi kupita wenzake.

Sunday, October 18, 2015

8G4 amebahatika kupata kura ya bahati, ambapo alikuwa miongoni mwa kundi la 8 (Boys Group).
Kiasi cha shilingi Milioni moja kinaweza kumdondokea endapo atakusanya kura nyingi. Ikumbukwe tarehe 10/11/2015, kura za hatua ya PILI zitaanza kupigwa zikihusisha watu mbali mbali.
Zoezi litakalodumu hadi 30/11/2015 atakapotangazwa mshindi.
3G5 alishinda kwa kura za kishindo kwenye kundi lake, Pia ni MSHINDI WA UFOTOJENIKI kwa mwaka 2015/16 kwa nafasi ya pili,  Sjmc-UDSM. Kwa namna ya kushangaza ndiye pekee aliyepata wapiga kura wengi zaidi toka mataifa mbali mbali nje ya mipaka ya TANZANIA. Na sasa anaingia hatua ya kundi la WASHIRIKI hamsini (50) katika kinyang'anyiro cha kitita cha 
Tsh 1,000,0000/=. Atafaulu endapo atakusanya kura nyingi zaidi kupita wote huku akiwa na mtaji wa kura ya bahati ya 
Tar. 17/10/2015.

Friday, October 16, 2015

7G3 ndiye mwenye bahati Leo kwa kupata kura, ambapo
Alikuwa kundi nambari saba kwenye kupigiwa kura zilizokuwa za washiriki WATANO, kwa hatua ya sasa washiriki wapo jumla 50 katika kuwania kiasi cha shilingi Milioni moja (1,000,000/=).

Thursday, October 15, 2015

4G4 ni mmoja kati ya washiriki
wa Mwitiko Binafsi ambaye alikuwa na uwezo pekee katika Sanaa ya picha za mnato, huku baadhi ya washiriki ya wenzake na waliompigia kura kwenye kundi lake (4th GROUP) wakimfananisha na msanii mashuhuri wa Nigeria Yemi Alade. Kwa sasa tusubiri ifikapo 30/11/2015 kama uwingi wa kura za bahati na zile zitakazopigwa baada ya kufungua chuo kama zitamuweka "on top" na kusababisha anyakue kitita cha Tsh 1,000,000/=.

Wednesday, October 14, 2015

4G3 Alikuwa mshindi wa kundi namba nne, baada ya kushinda alizawadiwa kiasi cha shilingi 25,000/= na sasa kuna 1,000,000/= mbele ya WASHIRIKI hamsini (50) wa MWITIKO BINAFSI.
Hivyo kwa sasa anakutana na wenzake 9 walioshinda kwenye makundi yao, pia washiriki 40 ambao wote walifuzu kwenye vipaji vya picha. 

Tuesday, October 13, 2015


Ni bahati kwake kwa Mara nyingine 3G4 anapata kura
Nyingine ya kuwania umilionea, (13/10/2015). Ambapo yeye anatokea kundi la tatu ambalo lilikuwa na rekodi ya kufuatiliwa na watu wengi zaidi wa hapa nchini pia nchi za nje, Na pia kundi lake limefanikiwa kuwa na fotojeniki No 2 katika kipindi hiki cha 2015/16 kutoka Sjmc.
3G4 amebahatika kupata kura Tar. 12/10/2015
Endapo atakuwa na kura nyingi zaidi ifikapo
Tar. 30/11/2015 basi atajinyakulia kitita cha shilingi 1,000,000/=


taslim za Kitanzania.

Monday, October 12, 2015

6G4 amefanikiwa kupata kura ya bahati. 
Endapo atajikusanyia kura nyingi ni dhahiri 
Kuwa atashinda kiasi cha shilingi Milioni moja

Sunday, October 11, 2015

3G3 NDIYE ALIYEBAHATIKA KUPATA KURA
KUTOKA RMR TAR 10/10/2015.
ENDAPO ATAKUWA NA KURA NYINGI IFIKAPO
TAREHE 30/11/2015, BASI ATASHINDA KIASI
CHA SHILINGI MILIONI MOJA ZA KITANZANIA 
(THS 1,000,000/=)