MATAJIRI (points)

MATAJIRI (points)

MINBOOKLET

MINBOOKLET

SHUKRANI

SHUKRANI

Wednesday, December 30, 2015

Rosena, toka MZUMBE University, ambaye ni nambari 4 katika kundi lake ameibuka mshindi kwa kuwa na Kura 
Nyingi za kupigiwa.

Monday, December 7, 2015

Mariam akiwa mwenye furaha baada ya kupokea hundi ya Tsh 1,000,000/= Milioni moja baada ya kuwa mshindi wa kura za thamani za MWITIKO BINAFSI. 

Monday, November 30, 2015

Mariam aliyekuwa na utambulisho wa 5G1
Ndiye MSHINDI wa kiasi cha Tsh 1,000,000/=
Kilichokuwa kimetengwa kwa washiriki 50
wa MWITIKO BINAFSI huku wakiwa na safari ndefu ya kushiriki, ikiwa ni pamoja na Photo of the week, 5Group Winner na hatimaye shindano la mwisho, lililojumuisha WASHIRIKI wote 50 kutoka makundi kumi (10), 

Leo 30/11/2015 tunashuhudia Mariam akifaulu kukusanya kura za thamani zilizofikia idadi ya 166 na kushinda milioni moja

Mariam pia alishinda taji la UDSM - PHITOJENIC No. 1

MSHINDI WA MWITIKO BINAFSI,  kiasi cha Tsh Milioni Moja sasa kutangazwa saa 12:00 jioni ya Leo TAR 30/11/2015

Sunday, November 29, 2015

Kura za thamani za 2G2 na 5G1
Leo ikiwa ni SIKU ya mwisho na mpishano wa kura ni KURA MOJA TU.
Mwisho Wa upigaji kura ni leo 29/11/2015 saa 23:59 juu ya alama.

Thursday, November 26, 2015


MWITIKO BINAFSI studio imefunguliwa, itafanikisha picha za mnato na utengenezaji wa matangazo yahusuyo picha. Pia itashughulika na mikataba ya watakaochaguliwa kwa ajili ya MATANGAZO YA KIBIASHARA YAHUSUYO/YANAYOHITAJI PICHA ZA MNATO/ MTEMBEO (VIDS). 
Ipo Mikocheni, School of Journalism road, Karibu na SJMC / MLIMANI TV.

Tuesday, November 24, 2015

SIKU zimebaki chache, hatujui MSHINDI atakuwa nani,
Je wewe unaonaje? Na je wao 2G2 na 5G1 wanaonaje?
KITENDAWILI KUTEGULIWA TAR 30/11/'15 ATAKAPOTANGAZWA MSHINDI MWENYE KURA NYINGI ZA THAMANI.

Saturday, November 21, 2015

Friday, November 20, 2015

Tar 20/11/2015 tunashuhudia 2G2 na 5G1 wakiwa wamefungana kwa kura, Je nani atashinda endapo nguvu ZAO za kupigiwa kura ni sawa?.

Tuesday, November 17, 2015

2G2 anaongoza kwa kura za thamani, Yupo kwenye list ya washindi kumi walioshinda kwenye makundi yao kwa kupigiwa kura, Endapo ataendelea kuongoza hadi tarehe 29/11/2015 Hadi muda wa saa 23:59, basi atatangazwa mshindi wa Tsh 1,000,000/= za Kitanzania.