Mary ni MSHINDI kwa kura 182, ambapo namba yake ya utambulisho katika kupigiwa Kura ilikuwa No. 3, Ni mshiriki wa kundi la sita na ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu (SJMC-UDSM).
Kundi lake limefanikiwa pia kuingia HATUA ya pili ya Kura za thamani ambapo mshindi kati ya washiriki 50, ataibuka na ushindi wa kiasi cha Tsh 1,000,000/=.
No comments:
Post a Comment