MATAJIRI (points)

MATAJIRI (points)

MINBOOKLET

MINBOOKLET

SHUKRANI

SHUKRANI

Wednesday, January 27, 2016

Kwa jina anaitwa AIKA, mshiriki wa kundi la nne
Ambapo baada ya kuhesabiwa Kura zake ilithibitishwa 
kuwa ameongoza kwa kura nyingi, HATUA YA PILI
YA KURA ZA THAMANI INAKUJA, AMBAPO MSHINDI 
WA KURA NYINGI HUSHINDA KIASI CHA TSH, MILIONI
MOJA (1,000,000/=). washiriki wote wa kundi la nne 
wataunganishwa wote katika hatua hii ya pili ya kura
za thamani.

Thursday, January 21, 2016

Huyu ndiye STIVE, (Mshiriki KUTOKA Ardhi University)
Ameshiriki kundi namba 3, na kushinda Kura 351
Je rekodi yake ya upataji wa kura nyingi itafikiwa na yeyote?
TUKUMBUKE MAKUNDI YAPO KUMI (10), YANAYOKAMILISHA IDADI YA WASHIRIKI 50 WA MSIMU HUU WA TATU. MARA BAADA YA UPIGAJI KURA KWA MAKUNDI YOTE, WASHIRIKI WOTE WATAINGIA HATUA YA PILI YA KURA ZA THAMANI NA MWENYE KURA NYINGI ATASHINDA KIASI CHA SHILINGI 1,000,000/= (MILIONI MOJA-TSHs).

Tuesday, January 12, 2016

Felister ni mshiriki wa kundi la pili la wasichana ambaye ni mshindi aliyepata Kura nyingi zaidi dhidi ya wenzake wanne, ni kutoka Sjmc-Udsm.  TUKUMBUKE KUWA HUU NI MSIMU WA TATU UTAKAOSHIRIKISHA VIJANA 50 KUTOKA VYUONI NA SEHEMU NYINGINEZO KATIKA TASNIA YA SANAA ZA PICHA ZENYE THAMANI KWA MATANGAZO YA BIASHARA KWA MALIPO.